Monday, June 1, 2015

MAOMBI YA HUU MWEZI WA SITA

Bwana yesu asifiwe. Matumaini yetu kama huduma ya NGUVU YA NENO MINISTRY mnaendelea vizuri katika uwepo wa roho mtakatifu. Ni vyema na wakati kama huu kukumbushana kufanya maombi ya kufunga na kuomba juu ya toba ya maisha yetu.
 Tuungane katika mwezi huu kufanya maombi ya toba ili kufungua baraka za heri kutotk kwa Mungu
Amen,..... 

MABADILIKO YA IBADA ZETU

Ibada za katikati ya wiki ziko tatu (3) siku ya jumatano, ijumaa kama siku ya kukutana kina mama wote kanisani ili kupata mafunzo ya uasiliamali katika mambo mengi kama kutengeneza sabuni, kufanya biashara ndogo ndogo pia na mafunzo ya insi ya kutunza na kulinda ndoa.

ibada nyingine ni jumamosi ambapo muda waa saa 7:00 watu wa kusifu na kuabudu hukutana kwa ajili ya kuandaa ibada ya jumapili pia saa 4:00 kuna ibada pia

siku ya jumapili ibada ipo moja tu kuanzia saa 4:00 mpaka saa 7:30 baada ya hapo wanaotaka kumuona Nabii JOHN MASSO hupewa nafasi ya kuonana nae

MNAKARIBISHWA WALETE VIPOFU, VIZIWI, WENYE MAGONJWA SUGU KUPITIA IBADA YA NGUVU YA NENO MINISTRY WATAPOKEA UPONYAJI

Thursday, April 9, 2015

TULIOMBE TAIFA LETU ZIDI YA MAHARAMIA WA AL- SHABAB

Niwakati mwingine ambapo watanzania tunaanza pata mshtuko baada ya nchi ya jirani ikipata mashambulizi ya kivita juu ya hawa wavamizi na magidi wa al-shabab
Chukua mda wako ombea amani ya nchii hii na karibu tuunganike katika ibaa za maombi zinazoendelea katika siku za ibada katika kanisa letu tuendelee kumuomba mungu ailinde amani ya taifa hili makabila , dini na madhehebu yakapate kuelewana kwani tupo kwaajili ya Mungu wetu muumba wa mbingu na nchi 


AMEN....."AL-SHABAB ATTACK"